Friday, December 3, 2010

Justin Bieber anatamani kufika university


Canadian Teen Idol Justin Beiber amesema kuwa japo ameuza Millions of Copy za Album katika umri mdogo wa miaka 16 lakini still ana plan za Kusoma hadi University. Beiber amesema Siku zote huwa anasafiri na Private Tutor ambapo huwa ana five three-hour sessions kwa wiki za kusoma. Amey…

Lloyd Featuring 50 Cent - Let's Get It In


Video ya “Let’s Get it in” ndio hii.…. Ni ngoma ambayo Llody kamshirikisha 50cent….Yani hii ni video ambayo imetawaliwa na madem mwanzo mwisho….. Nazani ni kwasababu Llody kawaimbia madem…