Sunday, September 22, 2013
Maajabu:Nyani Wenye Njaa Wawavizia Wanawake Wakitoka Sokoni Na Kuwaibia Vitu Vyao Huko Cape Town,Sauz
Nyani wenye njaa kali wameleta hofu kubwa kwa wanawake ambao ni wakazi wa Jiji la Cape Town,South Afrika baada ya kuwavizia wanawake hao wakitoka sokoni na kuwaiibia vitu vyao kama mboga na vyakula vingine walivyonunua na kuwapora huku wengine wakijeruhiwa.
Nyani maarufu katika eneo hilo kwa kuwaibia wanawake hao aitwaye Chacma Bides imeelezwa ni mtaalamu wa kuvizia na hukaa eneo la soko hilo muda wa mchana kusubiri wanawake wakitoka huwakimbiza na kuwanyang’anya mboga zao na kutokomea nazo.
Subscribe to:
Posts (Atom)