Thursday, December 6, 2012
HIVYO NDIVYO KILIVYOANDALIWA 'KICHUPA' CHA DIAMOND (NATAKA KULEWA)
Moja ya matukio kutoka sehemu ya uandaliwaji wa video ya Diamonds Platinumz 'Nataka Kulewa' picha ya chini ni staa wa bongo muvi Nisha akionyesha jeuri ya mkwanja kwa kuwatunza wenzake huku Platinumz akiwa ameshika kipaza sauti akiimba.
KALLAH JEREMIA : DEAR GOD SIYO WIMBO WANGU
Nyota wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Kallah Jerimia aliyeng'arisha nyota yake kupitia BSS amesema kuwa ngoma yake inayotamba hivi sasa kwenye vituo mbalimbali vya redio na runinga, Dear God siyo yake.
In 15 minute's interview' aliyofanya na mchomvuink.blogspot.com,Kallah amefunguka kuwa, awali wakati anaandika ngoma hiyo hakuwa kufikiri kuwa iko siku Dear God utakuwa siyo wimbo wake.
"Hili tukio limetokea Iringa wakati nilipokuwa kwenye ShowZangu, sikuwahi kufikiria kama wimbo huu utakuwa wa mashabiki kama ilivyo sasa, nimepokewa kwa shangwe pande hizo na kilichonishangza ni njinsi mashabiki walivyokuwa wanauimba hata pale mimi nilipokuwa nakaa kimywa wao waliendelea kuimba nahisi wimbo huu siyo wangu ni wa mashabiki" alisema Kallah
Saturday, December 1, 2012
Wednesday, November 28, 2012
Sunday, November 25, 2012
Tuesday, March 6, 2012
MADAKTARI KUTANGAZA KURUDI KWENYE MGOMO
Madaktari wametangaza kurudi tena kwenye mgomo,hiyo ni baada ya kikao chao kilichofanyika leo Jumamosi hii kwenye ukumbi wa Water Front,wamesema kwamba ifikapo jumatano saa mbili ahsubuhi kama serikali ikishindwa kuwasimamisha au kuwaondoa kwenye madaraka Waziri wa afya Mh Haji Mponda na katibu wake watarudi kwenye mgomo.G5click.com utaendelea kukupa habari kuhusiana na swala hili…
Subscribe to:
Posts (Atom)