HIVYO NDIVYO KILIVYOANDALIWA 'KICHUPA' CHA DIAMOND (NATAKA KULEWA)
Moja
ya matukio kutoka sehemu ya uandaliwaji wa video ya Diamonds Platinumz
'Nataka Kulewa' picha ya chini ni staa wa bongo muvi Nisha akionyesha
jeuri ya mkwanja kwa kuwatunza wenzake huku Platinumz akiwa ameshika
kipaza sauti akiimba.
No comments:
Post a Comment