Thursday, December 6, 2012

HIVYO NDIVYO KILIVYOANDALIWA 'KICHUPA' CHA DIAMOND (NATAKA KULEWA)




Moja ya matukio kutoka sehemu ya uandaliwaji wa video ya Diamonds Platinumz 'Nataka Kulewa' picha ya  chini ni staa wa bongo muvi Nisha  akionyesha jeuri ya mkwanja kwa kuwatunza  wenzake huku Platinumz akiwa ameshika  kipaza sauti  akiimba.

KALLAH JEREMIA : DEAR GOD SIYO WIMBO WANGU

Nyota wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Kallah Jerimia aliyeng'arisha nyota yake kupitia BSS amesema kuwa ngoma yake inayotamba hivi sasa kwenye vituo mbalimbali vya redio na runinga, Dear God siyo yake. In 15 minute's interview' aliyofanya na mchomvuink.blogspot.com,Kallah amefunguka kuwa, awali wakati anaandika ngoma hiyo hakuwa kufikiri kuwa iko siku Dear God utakuwa siyo wimbo wake. "Hili tukio limetokea Iringa wakati nilipokuwa kwenye ShowZangu, sikuwahi kufikiria kama wimbo huu utakuwa wa mashabiki kama ilivyo sasa, nimepokewa kwa shangwe pande hizo na kilichonishangza ni njinsi mashabiki walivyokuwa wanauimba hata pale mimi nilipokuwa nakaa kimywa wao waliendelea kuimba nahisi wimbo huu siyo wangu ni wa mashabiki" alisema Kallah

TAMthiria ya siri ya mtungi iko tayari

Saturday, December 1, 2012

Kitu cha kusikitisha ni pale mkoan mara. ni baada ya kupatikana bomu la mkono. kwenye makaz ya watu. hasa ndan ya nyumba ya mtu. na familia iyo kuwa na hofu atakuto lala ktk nyumba hyo..na kufanya watake kuhama kabisa kwa habari kamil www.majira.com>