Saturday, April 23, 2016

Website mpya ya albinism Tanzania

@Regrann from @suleimanmagoma  -  @www.albinismtanzania.co.tz  ni mtandao unaohusika na utoaji wa elimu kwa jamii kuhusu watu wenye ulemavu wa ngozi(Albinism) kama njia moja wapo ya kupambana na vitendo vya ukatili, unyanyapaa na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Vitendo vya Mauji, Unyanyapaa na mauaji ya watu wenye Albinism  yanatokana na jamii kubwa ya watanzania wenzetu kutokuwa na elimu na Ufahamu wa kutosha  kuhusu Albinism.  Mtanzania mwenzangu naomba support yako kwa kupost hiyo logo hapo juu na kuishare kwa watu mbalimbali  ili lengo langu la kufikisha elimu ya albinism kwa watanzania wenzangu  liweze kutimia. Nahitaji support yako kwa hilo . www.albinismtanzania.co.tz #Regrann Malilerlovedejo

No comments:

Post a Comment