Thursday, October 28, 2010

The African artists have represented to the fullest. Rockstar 4000 Ally Kiba akiwa kwenye pozi, habari nilizozipata ni kwamba Kiba anafanya vizuri n


Ally Kiba akiwa kwenye pozi, habari nilizozipata ni kwamba Kiba anafanya vizuri na watu wameipenda sauti yake, mungu akujalie ndugu yangu uyafikie malengo.

BANTU NITE FEATURING MATONYA & NONINI READING SHOW!!!!! A big thank you to everyone who came to Reading last Sat to The Bantu Night show that featur


A big thank you to everyone who came to Reading last Sat to The Bantu Night show that featured Nonini and Matonya thanks Once again for Making it such a succesful night the Party was Live! much love to all. watch the space for more big tings popin....Makamuzi continues....
Peace out

http://www.bongostarlink.com/2010/10/mrisho-mpoto-asherehekea-siku-yake-ya.html


Jana majira ya mchana msanii mwenye kipaji cha pekee Mrisho Mpoto alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na watoto yatima wa pale CHAKUWAMA maeneo ya Sinza.
Mpoto nia ya kufanya hivyo ni kutokana mwaka huu 2010 ndani ya miezi 6 ameondokewa na ndugu zake watatu akiwemo Baba yake mzazi, Mama yake mzazi pamoja na mdogo wake wa kike ambao walikuwa wawili tu. Mpoto kwa kuwa aliona yuko peke yake sasa basi haina budi siku hii akasherehekee na watoto yatima kwa kupeleka viroba vya mchele na unga wa ugali pamoja na mafuta ya kupikia na kununua vinywaji na kunywa nao pale.

BONGO STAR LINK

BONGO STAR LINK

Blog This! : Communicate - Google Chrome Help

Blog This! : Communicate - Google Chrome Help

Thursday, October 21, 2010

Telephone- Beyonce & lady gaga


Telephone ni video inayongoza kudownloadiwa online wakati lady gaga ammechukua tittle ya queen wa facebook na twitter kwakua na marafiki zaidi ya million 6 ambapo alikabidhiwa tittle hiyo akiwa anafanya video yake ya "monster ball" pia ni mwadada anaeongoza kwa tunzo nyingi za video mwaka 2010.

Lil Wayne Hits Number One On Billboard


When Lil Wayne’s I Am Not A Human Being was released digitally on September 27th, it debuted at number two on the Charts and a week later, dropped to number 16. But since its retail release last Tuesday, Weezy grabs Billboard’s spot this week after moving 125K copies. Even in Rikers, Dwayne’s out of this wo…

mwisho & merry

Happy birthday

>>>
Manchester United Happy birthday Nemanja. United's captain Vidic turns 29 today, send him your best wishes here.

JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2O10

Hapa katika mikutano yake ya kampeini. Amesema...
Katika miaka mitano iliyopita,hakuna wilaya au jimbo la uchaguzi katika nchi yetu ambalo sikufika.Nimetembea vijiji,vitongoji na maeneo mengi sana kuona mengi. Nimekutana na kuzungumza na wananchi na kujua raha zao,mafanikio yao na karaha zao.Kila tunalolipanga huzingatia uhalisia wa nchi yetu na wakati tuliopo.... kwamaelezo zaid pitia >>>> JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2O10

Wednesday, October 20, 2010

YDASH ft OCHU

je nikweli mpenzi wako ana deka

Da hii kali. ANADEKA YDash FT OCHU

Ni kweli mpenzi wako ana deka au mizingulizi.

Mwanasheria wa T.I aseama Hawakutegemea Hukumu iliyotolewa na mahakama

Weekend hii Mwanasheria wa T.I Dwight Thomas amezungumzia hukumu ya miezi 11 Jela iliyotolewa na mahakama dhidi ya Mteja wake. Kwa mujibu wa Dwight Thomas anasema Hukumu hiyo imemshangaza the Grand Hustle leader. T.I, ambapo rapa huyo amepewa wiki mbili za Kujisalimisha kabla ya kuanza kutumikia…

Bieber ajutia Matendo aliyoyafanya weekend

Wakati Polisi Nchini Canada wanaendelea Kupeleleza malalamiko ya dogo wa Miaka 12, anayedai kupigwa na Justin Beiber katika Game House moja weekend hii, ye mwenyewe ameibuka na kudai kuwa anataka kustep up against Hate/ yan anataka kuachana na kuwa na tabia za kukasirika ama kuchukia hasa anapokua Publi

Diddy atangaza kuwa yeye ndio atakuwa mtu mweusi wa kwanza kumiliki timu ya mpira… Birdman tupa kule


Sean Combs is determined to own an NFL team, and fans can only hope that if he succeeds, he won't change the squad's name every couple of years. Combs, aka Puff daddy, Puffy, P. Diddy and Diddy, tweeted late Thursday of his desire to join Jerry Jones, Al Davis and other mega-rich sportsmen

'The official Fabobolous Mixtape'{FREE DOWNLOAD