Hapa katika mikutano yake ya kampeini. Amesema...
Katika miaka mitano iliyopita,hakuna wilaya au jimbo la uchaguzi katika nchi yetu ambalo sikufika.Nimetembea vijiji,vitongoji na maeneo mengi sana kuona mengi. Nimekutana na kuzungumza na wananchi na kujua raha zao,mafanikio yao na karaha zao.Kila tunalolipanga huzingatia uhalisia wa nchi yetu na wakati tuliopo.... kwamaelezo zaid pitia >>>> JAKAYA MRISHO KIKWETE FOR 2O10
No comments:
Post a Comment