Thursday, October 21, 2010

Telephone- Beyonce & lady gaga


Telephone ni video inayongoza kudownloadiwa online wakati lady gaga ammechukua tittle ya queen wa facebook na twitter kwakua na marafiki zaidi ya million 6 ambapo alikabidhiwa tittle hiyo akiwa anafanya video yake ya "monster ball" pia ni mwadada anaeongoza kwa tunzo nyingi za video mwaka 2010.

No comments:

Post a Comment