Wednesday, October 20, 2010

Mwanasheria wa T.I aseama Hawakutegemea Hukumu iliyotolewa na mahakama

Weekend hii Mwanasheria wa T.I Dwight Thomas amezungumzia hukumu ya miezi 11 Jela iliyotolewa na mahakama dhidi ya Mteja wake. Kwa mujibu wa Dwight Thomas anasema Hukumu hiyo imemshangaza the Grand Hustle leader. T.I, ambapo rapa huyo amepewa wiki mbili za Kujisalimisha kabla ya kuanza kutumikia…

No comments:

Post a Comment