Wednesday, October 20, 2010

Bieber ajutia Matendo aliyoyafanya weekend

Wakati Polisi Nchini Canada wanaendelea Kupeleleza malalamiko ya dogo wa Miaka 12, anayedai kupigwa na Justin Beiber katika Game House moja weekend hii, ye mwenyewe ameibuka na kudai kuwa anataka kustep up against Hate/ yan anataka kuachana na kuwa na tabia za kukasirika ama kuchukia hasa anapokua Publi

No comments:

Post a Comment