Thursday, February 25, 2016

Wednesday, February 24, 2016

MWANAMKE FUNGUKA UKIWA NA HAMU NA TENDO LA NDO

Asilimia98 ya wanawake wengi wa kiafrika wakiwa na hamu ya mapenzi ni wagumu Sana kueleza hisia zao

Tambua kuwa nibora kufunguka ukiwa na hamu na tendo kuliko kukaa kimya mpaka mwanaume haanze kubuni labda unahitaji au laaah!

Tambua tu kwa mwanamke kueleza hisia zake kuwa yupo nahamu ya tendo. kunaongeza uhaminifu kwa mwanaume nakujua uchepuki mtaa wa pili.

Sasa wewe unakaa tu Kama nyanya iposhamba mpaka uishike ndio ujue imeiva.

Funguka mwanamke kwani uwezo wa kusema unahamu inaonesha.. unalithishwa na penzi na unafurahia.

Funguka by #activistmalilamachim

MSHUKURU MPENZI WAKO UKIMALIZA TENDO LA NDOA

Ni watu wa ngapi wakifanya mapenzi au tendo la ndoa wanawashukuru wenza wao.

Katika kumi yupo moja au akuna kabisa. zaid ya kukupa hela ya bodada au pesa ya Huduma uliyo toa.

Jifunzeni kusema Asante kwa wapenzi wenu mkimaliza tendo la ndoa

Ngoja nikujuze


Kama wewe mwanamke na ukimaliza kufanya mapenzi .mwanaume wako anakupa pesa jua kakudharau kupitaliza.

Yani wewe na wanaojiuza amnatofauti kwani wote si mnalipwa .

Chukuwa pesa au akusaidie unashida kwa hii wewe unatofauti na machangu doa.

BUSARA ZA BABA


Msichana alinunua simu smartphone ambayo ni ghali mno. Baba yake alipoiona alimuuliza "Binti yangu uliponunua hiyo simu yako ya gharama cha kwanza kufanya kilikua ni nini?"

"Niliweka screen protector kuzuia michubuko ya kioo na nikanunua cover kwa ajili ya kuzuia ikianguka isichubuke" binti alijibu.

"kuna mtu alikusukuma kufanya hivyo?" baba alimuuliza bintie

"Hapana" binti alijibu

"Unafikiri huko si kuwatukana waliotengeneza simu kwamba hawakukamilisha kazi yao? Baba aliendelea kuuliza.

"Hapana baba" ni kwamba hata wanaotengeneza wanawakumbusha watu kuweka cover katika simu zao kuzuia kuharibika kwa urahisi"

"Je uliiwekea cover kwa vile simu ni bei rahisi na inamuonekano mbaya?" Baba aliendelea kusaili

"ukweli nimeiwekea cover sitaki iharibike mapema na ipoteze uthamani wake" binti aliendelea kumjibu baba yake.

"ulipoiwekea cover, imepunguza uzuri wa simu yako?"

"Hapana baba nafikiri ndio imeonekana nzuri zaidi tofauti na mwanzo, na imeipa simu yangu ulinzi ili isiharibike"

Baba akamwangalia binti yake kwa upendo na akamwambia, " Je kama nikikuomba ukave mwili wako ambao unathamani kubwa kuliko hata hiyo simu yako kwa nguo ndefu zisizo onyesha maungo yako kwa watu hovyo hovyo utafanya hivyo?"

Binti alibaki kimya!

Uvaaji wa nguo fupi na zisizo na staha ambazo zinaweka wazi maungo yenu obvious zinapunguza thamani yenu na heshima kwa jamii. Watakaokutamani ni wanaume wakware tu wale wahuni wahuni! Ila mwanaume mwenye heshima zake hawezi akavutiwa nawe kwake atakuona kama msichana fulani wa kileo unayefaa kwa usiku mmoja tu na sio kwa maisha.

Cover your smartphone, cover your precious body for your husband only!

TUNAWEZA KUWA LINDA

Kama Una mtoto mwenye ulemavu wa ngozi yani mwenye hali ya ualibino unatakiwa ufuate haya:-

Mtunze ngozi yake isiharibike kwa juwa na kusababisha kupata kansa au saratani. ya macho au ngozi

Kwa kuvaa nguo ndefu zisizo na joto, pia awe na miwani ya jua ili macho yasipatwe na saratani.

Pia kofia kwa ajili ya kuto patwa na miale ya jua sehemu za macho na shingoni.
Hepuka gharama za kutibu ugwanjwa ni bure lakini, utapatwa na madhara makubwa na aupon na sasa saratani nitatizo sugu kwa watu wenye ualibino. cc@chamachaalbinomorogoro #activistmalilamachim

Sunday, February 21, 2016

TAS MOROGORO KWAKUSHIRIKIANA NA CHAMA CHA TLB MOROGORO .


Leo tumefanikiwa kuwapeleka shule watoto 4 wenyeualbino na 1 asiyeona.
Watoto hawa licha yakutimiza umri wakwenda shule lakini walikuwa hawajaanza shule kutokana na mazingira magumu wanayo ishi.
Jitihada zilizo fanywa na Chama Tas kwakushirikiana Chama cha TLB tuliwabaini watoto hao na hatimaye kuwatafutia shule iliyoko wilalayani kilosa. Iitwayo Anest Mazinyungu. Watoto hawa watasoma huko kwa ufadhili wa shilika liitwalo MY RIGHT kwakushirikiana na serikali.