Kama Una mtoto mwenye ulemavu wa ngozi yani mwenye hali ya ualibino unatakiwa ufuate haya:-
Mtunze ngozi yake isiharibike kwa juwa na kusababisha kupata kansa au saratani. ya macho au ngozi
Kwa kuvaa nguo ndefu zisizo na joto, pia awe na miwani ya jua ili macho yasipatwe na saratani.
Pia kofia kwa ajili ya kuto patwa na miale ya jua sehemu za macho na shingoni.
Hepuka gharama za kutibu ugwanjwa ni bure lakini, utapatwa na madhara makubwa na aupon na sasa saratani nitatizo sugu kwa watu wenye ualibino. cc@chamachaalbinomorogoro #activistmalilamachim
No comments:
Post a Comment