Sunday, February 28, 2016

CHANGA MOTO YA ELIMU KWA SASA

[2/29/2016, 07:38] source whatapps

Mada : Nilikuwa napenda kufahamu hivi swala elimu ..upande wa vitu kaa madafutali, kalamu nk.pamoja na chakula nichangamoto kwa sasa

Mama Easter: Wazazi mamburura wanaziweka kwenye changamoto

maliler machim: Aaaah kwa hiyo hizi nichangamoto sana...
Denis manyai: Hapana maana zamani walisema changamoto ada hizi atukuzisikia

maliler machim: Hivi kwa sasa changamoto ni ipi sasa kwa wanafunz... tuache walimu ni ya Central gvt

Denis manyai‬: Kiujumla elimu bure bado haijawa na msaada sana mfano huku kwetu tumepewa miezi miwili tuhakikishe tumetengeneza madawati,vyoo,pamoja na kukarabati majengo yasiyo na sakafu pamoja kuta serikali haichangii kitu chochote inabidi wananchi wachange

maliler machim: Kwa hiyo ,Yeah kwa kiasi ni changamoto na inategemeana na mazingira.. ila Denis hiyo wanabid almashaur ichangie Kama mna misitu nkuwa na mipango mizuri

Denis manyai‬: Hku miti pori ipo na ubao sh 3000mpaka 3500 dawati moja mbao5 unamadawati 300 ni changamoto kwakweli

maliler machim: Duh mimi naona niswala niswala la kuambia wananchi wakatoa michango yao kwenye hilo kuliku kuwa sheria. ila nimuhimu kwa sasa Kama tunataka hii elimu bure ifanikiwe lazima tushirikiane kuanzia chini mpaka juu .

Kwaseta binafs. govt na mtu moja moja na ikiwezekana vijana tuweke mawazo yetu hapo na wasomi tufanye kaz yetu ya kushaur na kuanzisha program za maendeleo

Elia Mgt: Yeah kwa kiasi ni changamoto na inategemeana na mazingira

maliler machim: Kwa hiyo kukiwepo mpango wa kutoa iv bure inawezekana kusiwe na changamoto hiz. Kwa mijin itakuwa nn zaid

Elia Mgt: Yeah kiongozi cha msingi utafiti kwanza.

maliler machim: Kwa hili itafiti unatakiwa uwe kwa walimu na wazazi... au nibora mtu Ku link na local govt. Maana kunakipind mm nipo shule msing na secondary, tulikuwa tuna patiwa hizi ila kwa sasa naona hakuna.

Yani sijajuwa vizur tatizo nn....kiongoz

Mick source:Ndio japo sio sana. Kuna familia masikini sana hawawezi hata kuwanunulia watoto wao vifaa vya shule.

Eliza:Ni Kweli malila

[Eliza: Ndo hvyo now days elimu ni challenge hasa KWa Watu masikin km ss

maliler machim: Kwa hiyo tufanyaje tukiwapatia hivyo vitu Vita wasaidia?

Eliza: Mmmh inategemea

maliler machim: Labda unashaur nn sasa kwa hili wangu eliza

Eliza: Mfumo wetu kiujumla hauko Poa unamkandamiza Mnyonge

maliler machim: Oooh.. sasa ili usimdidimize tufanyaje.. iliwote tulimike

Eliza: Mfumo ubadilishwe ,Means km kutakua na shule za Kata ziwe zinaprovide the same services as private may be

Maoni ya wenzetu hayo ebu comments zako hapo tuone.

No comments:

Post a Comment