Mada: Nilikuwa napenda kufahamu hivi swala elimu ..upande wa vitu kaa madafutali, kalamu nk.pamoja na chakula nichangamoto kwa sasa.
Ras2jr: Kuna aina mbili ya shule za msingi naomba tuelewe kuna shule ya serikali moja kwa moja kwamaana ikizianzishwa na serikali na nyingije shule ya wazazi maana ilianzishwa na wazazi sasa captition inapokuja shule ya wazazi inapata kidogo kwa kutegemea wazazi wachangie na hapa inataraji mapokeo na uelewa wa wazazi cz wao ndo waanze serikali iongize nguvu yke.
Kimsingi hizi tunazosema changamoto kwapamoja tunaweza kuzimaliza na isiwe tena kero km ile ya watoto kurudishwa nyumbani kipindi cha masomo
Afisa mtendaji Dennis wewe unajukumu la kufafanua Sera na kuwajengea wananchi wako uelewa ili kuleta tija ya maendeleo katika kijiji chako natumai serikali ya kijiji ipo ivo Watu wakitambua umuhimu wakumaliza hilo tatizo kwapamoja tunaenda kutengeneza tz mpyaaa
Changamoto nyingine ndugu mtendaji tunaposema serikali tunaiangalia serikali kuu tunasahau serikali yetu ya kijiji
Anayofanya raisi maanake anatuma salamu kwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kwa ufahamu mpana tunataraji yatekelezwe vema pia na maafisa watendaji kata na yakitekelezwa hizi kero ndogondogo hatutazisikia lkn bado kuna tatizo naona WEO wengi hawatambui majukumu na hawasomi kabisa kitabu Chao cha muongozo na wakisoma hawatekelezi wao ni wazee wakudelegate power tu na kujifanya wanafanya kazi pindi DC anapokuja lkn yy anashindwa kumtumia DC ili kata yetu isonge mbele
[2/29/2016, 1Ugurumo: Ukwel ukiamin elim bure wananchi tunahak ya kuoj bure ya namna gan mana serkal inasema bure tena bure kabisa manake wazaz nkumuudumia mtotoawe na afya na mvaz kuhus ada kwa maana ya burekabisa namchango haisens jaman uku njombe tumachangia chakula mchana na asbhso nlazima but hojaujaelim bure au tuchangie
Ugurumo: Utendaj nzamana.....
kuelimiasha nlazima akin kaz zake nying azikai kiuelimishaj sana zaid ya utendaj hivyo mxmpe kaz mtendaj...... jukumu kubwa alilonalo n afisa elim kata na anayefafanua sera za elim katika kata afu denis apokee majukum baada ya wananchi kupewa ufanuz huo ,...
..hili limetokea kwetu uku mtendaj kachukua jukum kubwa yanafisa elim mwenyewe afisa maendeleo yeye .... niomben wasimwenzang kaka denis nawatendaj wenzang tufanye kaz inayotuhusu coz ukijipa sana kaz watakuzilia kijiji nakata
Maoni jumuhishi: Hili ni la wazazi, serikali jukumu lake ni miundombinu pamoja na rasilmali watu, walimu ,manesi ,shuleni na mengineo yahusiyo serikali kuu.
No comments:
Post a Comment