Huyo mwizi alifumua bati aingie duka la cm na TV akanata toka Jana ucku hiyo miguu kwenye TV imenasa wamevuta Askari wanne haiachii wakimvutia kwa juu ya bati alikoingilia analalamika anadai msinivute kwa juu mnivutie kwa ndani kwa juu mnavyonivuta kuna kitu dukani nacho kinanivuta ntafia hapa hapa baada ya police kushindwa kumchomoa wakamuomba mwenye duka tunaomba ukamtoe ndo akavutwa na mwenye duka akafanikiwa kutoka. Hii imetokea jana Iringa stendi kuu kwenye duka la jamaa mmoja anaeitwa Lusungu
No comments:
Post a Comment