Sunday, February 21, 2016

TAS MOROGORO KWAKUSHIRIKIANA NA CHAMA CHA TLB MOROGORO .


Leo tumefanikiwa kuwapeleka shule watoto 4 wenyeualbino na 1 asiyeona.
Watoto hawa licha yakutimiza umri wakwenda shule lakini walikuwa hawajaanza shule kutokana na mazingira magumu wanayo ishi.
Jitihada zilizo fanywa na Chama Tas kwakushirikiana Chama cha TLB tuliwabaini watoto hao na hatimaye kuwatafutia shule iliyoko wilalayani kilosa. Iitwayo Anest Mazinyungu. Watoto hawa watasoma huko kwa ufadhili wa shilika liitwalo MY RIGHT kwakushirikiana na serikali.

No comments:

Post a Comment