Monday, February 29, 2016

CHANGAMOTO YA ELIMU NCHINI

Mada: Nilikuwa napenda kufahamu hivi swala elimu ..upande wa vitu kaa madafutali, kalamu nk.pamoja na chakula nichangamoto kwa sasa.

Ras2jr‬: Kuna aina mbili ya shule za msingi naomba tuelewe kuna shule ya serikali moja kwa moja kwamaana ikizianzishwa na serikali na nyingije shule ya wazazi maana ilianzishwa na wazazi sasa captition inapokuja shule ya wazazi inapata kidogo kwa kutegemea wazazi wachangie na hapa inataraji mapokeo na uelewa wa wazazi cz wao ndo waanze serikali iongize nguvu yke.

Kimsingi hizi tunazosema changamoto kwapamoja tunaweza kuzimaliza na isiwe tena kero km ile ya watoto kurudishwa nyumbani kipindi cha masomo

Afisa mtendaji Dennis wewe unajukumu la kufafanua Sera na kuwajengea wananchi wako uelewa ili kuleta tija ya maendeleo katika kijiji chako natumai serikali ya kijiji ipo ivo Watu wakitambua umuhimu wakumaliza hilo tatizo kwapamoja tunaenda kutengeneza tz mpyaaa

Changamoto nyingine ndugu mtendaji tunaposema serikali tunaiangalia serikali kuu tunasahau serikali yetu ya kijiji

Anayofanya raisi maanake anatuma salamu kwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya kwa ufahamu mpana tunataraji yatekelezwe vema pia na maafisa watendaji kata na yakitekelezwa hizi kero ndogondogo hatutazisikia lkn bado kuna tatizo naona WEO wengi hawatambui majukumu na hawasomi kabisa kitabu Chao cha muongozo na wakisoma hawatekelezi wao ni wazee wakudelegate power tu na kujifanya wanafanya kazi pindi DC anapokuja lkn yy anashindwa kumtumia DC ili kata yetu isonge mbele
[2/29/2016, 1Ugurumo: Ukwel ukiamin elim bure wananchi tunahak ya kuoj bure ya namna gan mana  serkal inasema  bure tena bure kabisa manake wazaz nkumuudumia mtotoawe na afya na mvaz kuhus ada kwa maana ya burekabisa namchango haisens jaman uku njombe tumachangia chakula mchana na asbhso nlazima but hojaujaelim bure au tuchangie

Ugurumo: Utendaj nzamana.....
kuelimiasha nlazima akin kaz zake nying azikai kiuelimishaj sana zaid ya utendaj hivyo mxmpe kaz mtendaj...... jukumu kubwa alilonalo n afisa elim kata na anayefafanua sera za elim katika kata afu denis apokee majukum baada ya wananchi kupewa ufanuz huo ,...
..hili limetokea  kwetu uku mtendaj kachukua jukum kubwa yanafisa elim mwenyewe  afisa maendeleo yeye .... niomben wasimwenzang kaka denis nawatendaj wenzang tufanye kaz inayotuhusu coz  ukijipa sana kaz watakuzilia kijiji nakata

Maoni jumuhishi: Hili ni la wazazi, serikali jukumu lake ni miundombinu pamoja na rasilmali watu, walimu ,manesi ,shuleni na mengineo yahusiyo serikali kuu.

Sunday, February 28, 2016

CHANGA MOTO YA ELIMU KWA SASA

[2/29/2016, 07:38] source whatapps

Mada : Nilikuwa napenda kufahamu hivi swala elimu ..upande wa vitu kaa madafutali, kalamu nk.pamoja na chakula nichangamoto kwa sasa

Mama Easter: Wazazi mamburura wanaziweka kwenye changamoto

maliler machim: Aaaah kwa hiyo hizi nichangamoto sana...
Denis manyai: Hapana maana zamani walisema changamoto ada hizi atukuzisikia

maliler machim: Hivi kwa sasa changamoto ni ipi sasa kwa wanafunz... tuache walimu ni ya Central gvt

Denis manyai‬: Kiujumla elimu bure bado haijawa na msaada sana mfano huku kwetu tumepewa miezi miwili tuhakikishe tumetengeneza madawati,vyoo,pamoja na kukarabati majengo yasiyo na sakafu pamoja kuta serikali haichangii kitu chochote inabidi wananchi wachange

maliler machim: Kwa hiyo ,Yeah kwa kiasi ni changamoto na inategemeana na mazingira.. ila Denis hiyo wanabid almashaur ichangie Kama mna misitu nkuwa na mipango mizuri

Denis manyai‬: Hku miti pori ipo na ubao sh 3000mpaka 3500 dawati moja mbao5 unamadawati 300 ni changamoto kwakweli

maliler machim: Duh mimi naona niswala niswala la kuambia wananchi wakatoa michango yao kwenye hilo kuliku kuwa sheria. ila nimuhimu kwa sasa Kama tunataka hii elimu bure ifanikiwe lazima tushirikiane kuanzia chini mpaka juu .

Kwaseta binafs. govt na mtu moja moja na ikiwezekana vijana tuweke mawazo yetu hapo na wasomi tufanye kaz yetu ya kushaur na kuanzisha program za maendeleo

Elia Mgt: Yeah kwa kiasi ni changamoto na inategemeana na mazingira

maliler machim: Kwa hiyo kukiwepo mpango wa kutoa iv bure inawezekana kusiwe na changamoto hiz. Kwa mijin itakuwa nn zaid

Elia Mgt: Yeah kiongozi cha msingi utafiti kwanza.

maliler machim: Kwa hili itafiti unatakiwa uwe kwa walimu na wazazi... au nibora mtu Ku link na local govt. Maana kunakipind mm nipo shule msing na secondary, tulikuwa tuna patiwa hizi ila kwa sasa naona hakuna.

Yani sijajuwa vizur tatizo nn....kiongoz

Mick source:Ndio japo sio sana. Kuna familia masikini sana hawawezi hata kuwanunulia watoto wao vifaa vya shule.

Eliza:Ni Kweli malila

[Eliza: Ndo hvyo now days elimu ni challenge hasa KWa Watu masikin km ss

maliler machim: Kwa hiyo tufanyaje tukiwapatia hivyo vitu Vita wasaidia?

Eliza: Mmmh inategemea

maliler machim: Labda unashaur nn sasa kwa hili wangu eliza

Eliza: Mfumo wetu kiujumla hauko Poa unamkandamiza Mnyonge

maliler machim: Oooh.. sasa ili usimdidimize tufanyaje.. iliwote tulimike

Eliza: Mfumo ubadilishwe ,Means km kutakua na shule za Kata ziwe zinaprovide the same services as private may be

Maoni ya wenzetu hayo ebu comments zako hapo tuone.

JINA JIPYA LA BLOG YANGU

Kutoka kwa malila machim au wengime humfahamu kwa jina la Peter. Kabadili jina la mtandao Wake kutoka malilerla na kuwa jikubali kijana.

Huku kichwa cha habari kikisomeka jikubali kijana na malila. ikiwa anazidi kuiboresha zaidi #activistmalilamachim

Thursday, February 25, 2016

Kansa ya Ngozi inavyowatesa watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)


Imewekwa Tarehe February 25, 2016
Ugonjwa wa Kansa wadaiwa kuwa changamoto kubwa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi Albino.

Ugonjwa wa Kansa wadaiwa kuwa changamoto kubwa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi Albino.

Watu  wenye ulemavu wa ngozi (albino) wanaoishi vijijini, wana hatari ya kupata magonjwa ya saratani ya ngozi, kutokana na kutokuwa na elimu ya afya bora na utunzaji wa ngozi.

Ugonjwa  huo  unatokana na ukosefu wa elimu ya utunzaji wa afya ya ngozi kwa walemavu waishio vijijini. Walemavu hao wana hatari kubwa ya kupatwa na saratani ya ngozi kutokana na  ukosefu huo wa elimu, unatokana na umasikini.

Hata hivyo  walemavu walio wengi, hawana elimu ya kutosha ya utunzaji wa afya zao, hali inayochangiwa na ukosefu wa kipato cha kuwasaidia katika kujikwamua na hali ngumu na ununuzi wa dawa hizo.

Katika hatua nyingine elimu ya afya, kwa kuangalia zaidi walemavu wanaoishi vijijini inahitajika nchini Tanzania . Vijijini ni sehemu ambayo   kuna  changamoto nyingi za maisha kuhusu namna ya kukabiliana na utunzaji bora wa afya zao.

Mwizi Kaganda kwenye bati

Huyo mwizi alifumua bati aingie duka la cm na TV akanata toka Jana ucku hiyo miguu kwenye TV imenasa wamevuta Askari wanne haiachii wakimvutia kwa juu ya bati alikoingilia analalamika anadai msinivute kwa juu mnivutie kwa ndani kwa juu mnavyonivuta kuna kitu dukani nacho kinanivuta ntafia hapa hapa baada ya police kushindwa kumchomoa wakamuomba mwenye duka tunaomba ukamtoe ndo akavutwa na mwenye duka akafanikiwa kutoka. Hii imetokea jana Iringa stendi kuu kwenye duka la jamaa mmoja anaeitwa Lusungu


IRINGA MWIZI ANASA KWENYE PAA

https://www.youtube.com/watch?v=nh6nNsZLAgY&feature=youtube_gdata_player

Wivu wamapenzi wapelekea kifo

https://www.youtube.com/watch?v=TUKQnese5Fc&feature=youtube_gdata_player

Wednesday, February 24, 2016

MWANAMKE FUNGUKA UKIWA NA HAMU NA TENDO LA NDO

Asilimia98 ya wanawake wengi wa kiafrika wakiwa na hamu ya mapenzi ni wagumu Sana kueleza hisia zao

Tambua kuwa nibora kufunguka ukiwa na hamu na tendo kuliko kukaa kimya mpaka mwanaume haanze kubuni labda unahitaji au laaah!

Tambua tu kwa mwanamke kueleza hisia zake kuwa yupo nahamu ya tendo. kunaongeza uhaminifu kwa mwanaume nakujua uchepuki mtaa wa pili.

Sasa wewe unakaa tu Kama nyanya iposhamba mpaka uishike ndio ujue imeiva.

Funguka mwanamke kwani uwezo wa kusema unahamu inaonesha.. unalithishwa na penzi na unafurahia.

Funguka by #activistmalilamachim

MSHUKURU MPENZI WAKO UKIMALIZA TENDO LA NDOA

Ni watu wa ngapi wakifanya mapenzi au tendo la ndoa wanawashukuru wenza wao.

Katika kumi yupo moja au akuna kabisa. zaid ya kukupa hela ya bodada au pesa ya Huduma uliyo toa.

Jifunzeni kusema Asante kwa wapenzi wenu mkimaliza tendo la ndoa

Ngoja nikujuze


Kama wewe mwanamke na ukimaliza kufanya mapenzi .mwanaume wako anakupa pesa jua kakudharau kupitaliza.

Yani wewe na wanaojiuza amnatofauti kwani wote si mnalipwa .

Chukuwa pesa au akusaidie unashida kwa hii wewe unatofauti na machangu doa.

BUSARA ZA BABA


Msichana alinunua simu smartphone ambayo ni ghali mno. Baba yake alipoiona alimuuliza "Binti yangu uliponunua hiyo simu yako ya gharama cha kwanza kufanya kilikua ni nini?"

"Niliweka screen protector kuzuia michubuko ya kioo na nikanunua cover kwa ajili ya kuzuia ikianguka isichubuke" binti alijibu.

"kuna mtu alikusukuma kufanya hivyo?" baba alimuuliza bintie

"Hapana" binti alijibu

"Unafikiri huko si kuwatukana waliotengeneza simu kwamba hawakukamilisha kazi yao? Baba aliendelea kuuliza.

"Hapana baba" ni kwamba hata wanaotengeneza wanawakumbusha watu kuweka cover katika simu zao kuzuia kuharibika kwa urahisi"

"Je uliiwekea cover kwa vile simu ni bei rahisi na inamuonekano mbaya?" Baba aliendelea kusaili

"ukweli nimeiwekea cover sitaki iharibike mapema na ipoteze uthamani wake" binti aliendelea kumjibu baba yake.

"ulipoiwekea cover, imepunguza uzuri wa simu yako?"

"Hapana baba nafikiri ndio imeonekana nzuri zaidi tofauti na mwanzo, na imeipa simu yangu ulinzi ili isiharibike"

Baba akamwangalia binti yake kwa upendo na akamwambia, " Je kama nikikuomba ukave mwili wako ambao unathamani kubwa kuliko hata hiyo simu yako kwa nguo ndefu zisizo onyesha maungo yako kwa watu hovyo hovyo utafanya hivyo?"

Binti alibaki kimya!

Uvaaji wa nguo fupi na zisizo na staha ambazo zinaweka wazi maungo yenu obvious zinapunguza thamani yenu na heshima kwa jamii. Watakaokutamani ni wanaume wakware tu wale wahuni wahuni! Ila mwanaume mwenye heshima zake hawezi akavutiwa nawe kwake atakuona kama msichana fulani wa kileo unayefaa kwa usiku mmoja tu na sio kwa maisha.

Cover your smartphone, cover your precious body for your husband only!

TUNAWEZA KUWA LINDA

Kama Una mtoto mwenye ulemavu wa ngozi yani mwenye hali ya ualibino unatakiwa ufuate haya:-

Mtunze ngozi yake isiharibike kwa juwa na kusababisha kupata kansa au saratani. ya macho au ngozi

Kwa kuvaa nguo ndefu zisizo na joto, pia awe na miwani ya jua ili macho yasipatwe na saratani.

Pia kofia kwa ajili ya kuto patwa na miale ya jua sehemu za macho na shingoni.
Hepuka gharama za kutibu ugwanjwa ni bure lakini, utapatwa na madhara makubwa na aupon na sasa saratani nitatizo sugu kwa watu wenye ualibino. cc@chamachaalbinomorogoro #activistmalilamachim

Sunday, February 21, 2016

TAS MOROGORO KWAKUSHIRIKIANA NA CHAMA CHA TLB MOROGORO .


Leo tumefanikiwa kuwapeleka shule watoto 4 wenyeualbino na 1 asiyeona.
Watoto hawa licha yakutimiza umri wakwenda shule lakini walikuwa hawajaanza shule kutokana na mazingira magumu wanayo ishi.
Jitihada zilizo fanywa na Chama Tas kwakushirikiana Chama cha TLB tuliwabaini watoto hao na hatimaye kuwatafutia shule iliyoko wilalayani kilosa. Iitwayo Anest Mazinyungu. Watoto hawa watasoma huko kwa ufadhili wa shilika liitwalo MY RIGHT kwakushirikiana na serikali.

Saturday, February 20, 2016

Kituko cha siku

Mwanafunzi achora picha ya raisi magufuli kipindi... akiwa anafanya kampein za kuwania uraisi kwa tiket ya Ccm.

Friday, February 19, 2016

Umawahi kujua Mimi nakujuza

Je wa jua?

Albinism ipo hadi kwa wanyama Chukua hiyo.. kwani vinasaba vya albinism wanyama pia wanavyo. tuache unyanyapaa tokomeza ulemavu cc@chamachaalbinomorogoro

Thursday, February 18, 2016

Albinism disease

Signs and symptoms

In humans, there are two principal types of albinism: oculocutaneous, affecting the eyes, skin and hair, and ocular affecting the eyes only.

Most people with oculocutaneous albinism appear white or very pale, as the melanin pigments responsible for brown, black, and some yellow colorations are not present. Ocular albinism results in light blue eyes, and may require genetic testing to diagnose.

Because individuals with albinism have skin that entirely lacks the dark pigment melanin, which helps protect the skin from the sun's ultraviolet radiation, their skin can burn more easily from overexposure.

The human eye normally produces enough pigment to color the iris blue, green or brown and lend opacity to the eye. In photographs, those with albinism are more likely to demonstrate "red eye," due to the red of retina being visible through the iris. Lack of pigment in the eyes also results in problems with vision, both related and unrelated to photosensitivity.

Those afflicted with albinism are generally as healthy as the rest of the population (but see related disorders below), with growth and development occurring as normal, and albinism by itself does not cause mortality, although the lack of pigment blocking ultraviolet radiation increases the risk of melanomas (skin cancers) and other problems.

Visual problems

Development of the optical system is highly dependent on the presence of melanin, and the reduction or absence of this pigment in sufferers of albinism may lead to:

• Misrouting of the retinogeniculate projections, resulting in abnormal decussation (crossing) of optic nerve fibres

• Photophobia and decreased visual acuity due to light scattering within the eye (ocular straylight)

• Reduced visual acuity due to foveal hypoplasia and possibly light-induced retinal damage.

Eye conditions common in albinism include:

• Nystagmus, irregular rapid movement of the eyes back and forth, or in circular motion.

• Amblyopia, decrease in acuity of one or both eyes due to poor transmission to the brain, often due to other conditions such as strabismus.

• Optic nerve hypoplasia, underdevelopment of the optic nerve.

Some of the visual problems associated with albinism arise from a poorly developed retinal pigment epithelium (RPE) due to the lack of melanin. This degenerate RPE causes foveal hypoplasia (a failure in the development of normal foveae), which results in eccentric fixation and lower visual acuity, and often a minor level of strabismus.

The iris is a sphincter formed from pigmented tissue that contracts when the eye is exposed to bright light, to protect the retina by limiting the amount of light passing through the pupil. In low light conditions, the iris relaxes to allow more light to enter the eye. In albinistic subjects, the iris does not have enough pigment to block the light, thus the decrease in pupil diameter is only partially successful in reducing the amount of light entering the eye. Additionally, the improper development of the RPE, which in normal eyes absorbs most of the reflected sunlight, further increases glare due to light scattering within the eye. The resulting sensitivity (photophobia) generally leads to discomfort in bright light, but this can be reduced by the use of sunglasses and/or brimmed hats

Albinism Disease

Albinism in humans (from the Latin albus, "white"; see extended etymology, also called achromia, achromasia, or achromatosis) is a congenital disorder characterized by the complete or partial absence of pigment in the skin, hair and eyes due to absence or defect of tyrosinase, a copper-containing enzyme involved in the production of melanin. It is the opposite of melanism. Unlike humans, other animals have multiple pigments and for these, albinism is considered to be a hereditary condition characterised by the absence of melanin in particular, in the eyes, skin, hair, scales, feathers or cuticle.

Albinism results from inheritance of recessive gene alleles and is known to affect all vertebrates, including humans. While an organism with complete absence of melanin is called an albino an organism with only a diminished amount of melanin is described as leucistic or albinoid.

Albinism is associated with a number of vision defects, such as photophobia, nystagmus and amblyopia. Lack of skin pigmentation makes for more susceptibility to sunburn and skin cancers. In rare cases such as Chédiak–Higashi syndrome, albinism may be associated with deficiencies in the transportation of melanin granules. This also affects essential granules present in immune cells leading to increased susceptibility to infection.

Wednesday, February 17, 2016

Follow me on

I'm on Instagram as @malilerlovedejo. Install the app to follow my photos and videos. http://instagram.com/download/?r=1173785626

NI VEMA UKAYAJUA HAYA KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA


1. Sherehe ya Harusi ni ya siku moja tu, na Ndoa ni ya maisha yote.

2. Mwanamume/Mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya Ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya Ndoa.

3.Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.

4. Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.

5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.

6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu hasiye sahihi.

7. Aina tatu za wanaume wakuepukwa:
     a) Walevi.                 b) Malaya.                     c)Wagomvi.

8 .Kuolewa na Mchekeshaji hakutakufanya uwe na Ndoa yenye furaha.

9. Maneno matatu yanayojenga amani katika Ndoa:
      a) Nakupenda.        b) Samahani.                c) Asante.

10. Kupiga punyeto ni kujiharibu.

11. Kuoana kabla ya kuwa marafiki ni kama anga bila jua.

12. Mafanikio ya Ndoa siku zote ni pembetatu:
        Mungu mmoja - Mume mmoja - Mke mmoja.

13. Furaha ya kudumu maisha hutegemea na chaguo lako la Ndoa.

14. Usioe pesa au mali  - muoe mtu.

15. Uchumba uliovunjika ni bora zaidi kuliko Ndoa isiyo na amani na furaha.

16. Usiweke kipaumbele chako kwa muonekano mzuri wa mwanamke. Hakuna mwanamke mbaya, bali anahitaji kupendezeshwa.

17. Mapenzi si upofu. Upofu ni kuoa ama kuolewa na mwanamume/mwanamke kwa kigezo tu anakidhi haja zako kingono.

18. Ukiwa rafiki mwema, utawavutia marafiki wema.

19. Asili ya mikono inayojali ni moyo unaojali.

20. Iepuke Ndoa mbaya kabla haijaanza..

Thursday, February 11, 2016

SIMBA MTOTO YAPATA AJALI

Imetokea kati kati ya muheza na hale


Ndani ya hiyo gari kuliwa na mama mjazito amejifungua hapo hapo


MSAADA KWA KIJANA HUYU

TAARIFA KWA  WADAU.

Wadau wote wa TAS MOROGORO.naomba michango yenu ya kifedha ili kumsaidia ndugu yetu Omary ili aweze kwenda hospitari kutibiwa jicho lake.

Naomba kwayeyote atakaeguswa na jambo hili aweze kutoa alicho nacho ili kutimiza kiwango kinacho hitajika ambacho ni LAKI MOJA TU.

Tafadhari tuma mchango wako mojakwamoja kwa muhusika kwa namba yake 0713376426. Ningependa kwa muhusika ndugu omary wote watakao kuchangia tafadhali Taja humu ndani.

KUTOA NI MOYO, LEO KWAKE KESHO KWETU. Asanteni wenu katika ustawi wa watu wenye ualbino.

Hassan S Mikazi
Mwenyekiti TAS Mkoa wa Morogoro.


SARATANI YA MACHO KWA ALBINO

Kijana Omary hakiwa hospital Kenya kwa upasuaji wa macho kutokana na kuharibika kwa ushambuliwa na saratani.

Tunapenda kuwajulisha watanzania wote tunaitaji Masada kwa kusaidia kupunguza tatizo.

Karibu chamachaalbinomorogoro/ instagram tunapatikana.


SARATANI YA MACHO KWA ALBINO

Tatizo la saratani ya macho kwa alibino kwasasa ni tatizo kubwa huyu nimoja ya mgonjwa akiwa muhimbili hospital.

Bw.Yasini/ katibu wa@chamachaalbinomorogoro kwa michango tunaomba kupata huduma nzuri tunaomba msaada wenu.

Tufuate @chamachaalbinomorogoro


Monday, February 8, 2016

WATU 19 WAMEHUKUMIWA KIFO,BAADA YA KUKUTWA NA HATIA YA KUUA WALEMAVU WA NGOZI.

Watu 19 wamehukumiwa kifo baada ya kukutwa na hatia ya kuwaua walemavu wa ngozi (Albino).ni miongoni mwa watu 133 ambao walikamatwa kati ya mwaka 2006 hadi mwaka jana.

Hii ilikuja baada ya Bw.Masauni,kujibu swali kutoka kwa Mbunge wa viti maalumu Bi Mgeni Jadi Kadika (CUF) ambaye alitaka kufahamu Serikali inafanya nini kutokomeza mauaji ya Maalbino nchini.

Bw Masuani alisema Serikali imeongeza ulinzi kwaajili ya kuwalinda walemavu wa ngozi Nchini.

Alisema Serikali imeanda sehemu maalumu kwajili ya walemavu wa ngozi,na kuhakikisha wanaishi katika mazingira salama,na pia kuelimisha umma kuhusu mauaji ya kikatili dhidi ya Maalbino.